WAKILI WA SERIKALI MKUU NA MWENYEKITI WA KAMATI YA UADILIFU WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. VIVIAN METHOD
Abstract
Wakili wa Serikali Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Uadilifu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Vivian Method akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo wakati akimkaribisha Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo( aliyeketi katikati) kufungua mafunzo kuhusu utekelezaji wa mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha Mkoani Pwani.