NOTISI YA KUONGEZA ENEO LA KUTOA HUDUMA ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA, MAMLAKA YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA BABATI YA MWAKA, TANGAZO LA SERIKALI NA. 341 LA 2024
Abstract
Notisi hii itajulikama kama Notisi ya Kuongeza Eneo la Kutoa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira, Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Babati ya Mwaka 2024.