Show simple item record

dc.contributor.authorOFISI YA WAKILI MKUU
dc.date.accessioned2024-08-28T10:25:40Z
dc.date.available2024-08-28T10:25:40Z
dc.date.issued2024-04-01
dc.identifier.issn2820-2686
dc.identifier.urihttp://elibrary.osg.go.tz/handle/123456789/1379
dc.description.abstractTarehe 04 Aprili, 2024; Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Mhe. Dkt. SamiaSuluhu Hassan alimteua Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Edward Mtulo kuwa NaibuWakili Mkuu wa Serikali ambapo tarehe 28 Aprili, 2024 aliapishwa. Kuteuliwa kwa Bi. Mtulo kushika nafasi hiyo inadhihirisha kuwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inaendelea kulea na kuandaa Viongozi wanaoweza kufanya kazi kwa weledi na kuchapa kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuiletea nchi yetu maendeleo.en_US
dc.publisherOFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALIen_US
dc.subjectJARIDAen_US
dc.subjectTOLEO LA KUMI NA MOJAen_US
dc.titleJARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA KUMI NA MOJAen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record